Native Bible

Proverbs 17:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyangʼanywa watoto wake, kuliko mpumbavu katika upumbavu wake.

Proverbs 17:12 in English

Proverbs 17:12 · Berean Standard Bible

It is better to meet a bear robbed of her cubs than a fool in his folly.

Context

10Karipio humwingia sana mtu mwenye kutambua kuliko mapigo mia kwa mpumbavu. 11Mtu mbaya hupenda kuasi tu; mjumbe asiye na huruma atatumwa dhidi yake. 12Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyangʼanywa watoto wake, kuliko mpumbavu katika upumbavu wake. 13Ikiwa mtu atalipa baya kwa jema, kamwe ubaya hautaondoka katika nyumba yake. 14Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.