Mithali 17:14
Proverbs 17:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza.
Proverbs 17:14 in English
Proverbs 17:14 · Berean Standard Bible
To start a quarrel is to release a flood; so abandon the dispute before it breaks out.
Context
12Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyangʼanywa watoto wake,
kuliko mpumbavu katika upumbavu wake. 13Ikiwa mtu atalipa baya kwa jema,
kamwe ubaya hautaondoka katika nyumba yake. 14Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji;
kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza. 15Yeye asemaye kuwa asiye na haki ana haki,
naye asemaye kuwa mwenye haki hana haki:
Bwana huwachukia sana wote wawili. 16Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu,
wakati yeye hana haja ya kupata hekima?
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.