Native Bible

Proverbs 17:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ikiwa mtu atalipa baya kwa jema, kamwe ubaya hautaondoka katika nyumba yake.

Proverbs 17:13 in English

Proverbs 17:13 · Berean Standard Bible

If anyone returns evil for good, evil will never leave his house.

Context

11Mtu mbaya hupenda kuasi tu; mjumbe asiye na huruma atatumwa dhidi yake. 12Ni afadhali ukutane na dubu aliyenyangʼanywa watoto wake, kuliko mpumbavu katika upumbavu wake. 13Ikiwa mtu atalipa baya kwa jema, kamwe ubaya hautaondoka katika nyumba yake. 14Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza. 15Yeye asemaye kuwa asiye na haki ana haki, naye asemaye kuwa mwenye haki hana haki: Bwana huwachukia sana wote wawili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.