Native Bible

Proverbs 17:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu, wakati yeye hana haja ya kupata hekima?

Proverbs 17:16 in English

Proverbs 17:16 · Berean Standard Bible

Why should the fool have money in his hand with no intention of buying wisdom?

Context

14Kuanzisha ugomvi ni kama kutoboa bwawa la maji; kwa hiyo acha jambo hilo kabla mabishano hayajaanza. 15Yeye asemaye kuwa asiye na haki ana haki, naye asemaye kuwa mwenye haki hana haki: Bwana huwachukia sana wote wawili. 16Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu, wakati yeye hana haja ya kupata hekima? 17Rafiki hupenda wakati wote naye ndugu amezaliwa kwa ajili ya wakati wa shida. 18Mtu mjinga hupana mkono ili kuweka rehani, naye huweka dhamana kwa jirani yake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.