Mithali 17:18
Proverbs 17:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu mjinga hupana mkono ili kuweka rehani, naye huweka dhamana kwa jirani yake.
Proverbs 17:18 in English
Proverbs 17:18 · Berean Standard Bible
A man lacking judgment strikes hands in pledge and puts up security for his neighbor.
Context
16Fedha ina faida gani mikononi mwa mpumbavu,
wakati yeye hana haja ya kupata hekima? 17Rafiki hupenda wakati wote
naye ndugu amezaliwa kwa ajili ya wakati wa shida. 18Mtu mjinga hupana mkono ili kuweka rehani,
naye huweka dhamana kwa jirani yake. 19Yeye apendaye ugomvi apenda dhambi;
naye ainuaye sana lango lake* hutafuta uharibifu. 20Mtu mwenye moyo mpotovu hawezi kufanikiwa;
naye ambaye ulimi wake ni mdanganyifu huanguka kwenye taabu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.