Native Bible

Proverbs 17:19 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye apendaye ugomvi apenda dhambi; naye ainuaye sana lango lake* hutafuta uharibifu.

Proverbs 17:19 in English

Proverbs 17:19 · Berean Standard Bible

He who loves transgression loves strife; he who builds his gate high invites destruction.

Context

17Rafiki hupenda wakati wote naye ndugu amezaliwa kwa ajili ya wakati wa shida. 18Mtu mjinga hupana mkono ili kuweka rehani, naye huweka dhamana kwa jirani yake. 19Yeye apendaye ugomvi apenda dhambi; naye ainuaye sana lango lake* hutafuta uharibifu. 20Mtu mwenye moyo mpotovu hawezi kufanikiwa; naye ambaye ulimi wake ni mdanganyifu huanguka kwenye taabu. 21Kuwa na mwana mpumbavu huleta huzuni; hakuna furaha kwa baba wa mpumbavu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.