Mithali 16:25
Proverbs 16:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, bali mwisho wake huelekeza mautini.
Proverbs 16:25 in English
Proverbs 16:25 · Berean Standard Bible
There is a way that seems right to a man, but its end is the way of death.
Context
23Moyo wa mtu mwenye hekima huongoza kinywa chake,
na midomo yake huchochea mafundisho. 24Maneno ya kupendeza ni kama sega la asali,
ni matamu kwa nafsi na uponyaji kwenye mifupa. 25Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu,
bali mwisho wake huelekeza mautini. 26Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi;
njaa yake humsukuma aendelee. 27Mtu mbaya kabisa hupanga mabaya,
maneno yake ni kama moto uunguzao.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.