Native Bible

Proverbs 16:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mbaya kabisa hupanga mabaya, maneno yake ni kama moto uunguzao.

Proverbs 16:27 in English

Proverbs 16:27 · Berean Standard Bible

A worthless man digs up evil, and his speech * is like a scorching fire.

Context

25Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, bali mwisho wake huelekeza mautini. 26Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi; njaa yake humsukuma aendelee. 27Mtu mbaya kabisa hupanga mabaya, maneno yake ni kama moto uunguzao. 28Mtu mpotovu huchochea ugomvi, nayo maongezi ya upuzi hutenganisha marafiki wa karibu. 29Mtu mkali humvuta jirani yake na kumwongoza katika mapito yale mabaya.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.