Native Bible

Proverbs 16:29 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mkali humvuta jirani yake na kumwongoza katika mapito yale mabaya.

Proverbs 16:29 in English

Proverbs 16:29 · Berean Standard Bible

A violent man entices his neighbor and leads him down a path that is not good.

Context

27Mtu mbaya kabisa hupanga mabaya, maneno yake ni kama moto uunguzao. 28Mtu mpotovu huchochea ugomvi, nayo maongezi ya upuzi hutenganisha marafiki wa karibu. 29Mtu mkali humvuta jirani yake na kumwongoza katika mapito yale mabaya. 30Yeye akonyezaye kwa jicho lake anapanga upotovu; naye akazaye midomo yake amenuia mabaya. 31Mvi ni taji ya utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.