Native Bible

Proverbs 16:31 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mvi ni taji ya utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu.

Proverbs 16:31 in English

Proverbs 16:31 · Berean Standard Bible

Gray hair is a crown of glory; it is attained along the path of righteousness.

Context

29Mtu mkali humvuta jirani yake na kumwongoza katika mapito yale mabaya. 30Yeye akonyezaye kwa jicho lake anapanga upotovu; naye akazaye midomo yake amenuia mabaya. 31Mvi ni taji ya utukufu; hupatikana kwa maisha ya uadilifu. 32Ni afadhali mtu mstahimilivu kuliko shujaa, mtu anayeitawala hasira yake kuliko yule autekaye mji. 33Kura hupigwa kwa siri, lakini kila uamuzi wake hutoka kwa Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.