Native Bible

Proverbs 16:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi; njaa yake humsukuma aendelee.

Proverbs 16:26 in English

Proverbs 16:26 · Berean Standard Bible

A worker’s appetite works for him because his hunger drives him onward.

Context

24Maneno ya kupendeza ni kama sega la asali, ni matamu kwa nafsi na uponyaji kwenye mifupa. 25Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, bali mwisho wake huelekeza mautini. 26Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi; njaa yake humsukuma aendelee. 27Mtu mbaya kabisa hupanga mabaya, maneno yake ni kama moto uunguzao. 28Mtu mpotovu huchochea ugomvi, nayo maongezi ya upuzi hutenganisha marafiki wa karibu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.