Native Bible

Proverbs 16:24 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maneno ya kupendeza ni kama sega la asali, ni matamu kwa nafsi na uponyaji kwenye mifupa.

Proverbs 16:24 in English

Proverbs 16:24 · Berean Standard Bible

Pleasant words are a honeycomb, sweet to the soul and healing to the bones.

Context

22Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao, bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu. 23Moyo wa mtu mwenye hekima huongoza kinywa chake, na midomo yake huchochea mafundisho. 24Maneno ya kupendeza ni kama sega la asali, ni matamu kwa nafsi na uponyaji kwenye mifupa. 25Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, bali mwisho wake huelekeza mautini. 26Shauku ya mfanyakazi humhimiza kufanya kazi; njaa yake humsukuma aendelee.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.