Native Bible

Proverbs 16:22 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao, bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu.

Proverbs 16:22 in English

Proverbs 16:22 · Berean Standard Bible

Understanding is a fountain of life to its possessor, but the discipline of fools is folly.

Context

20Yeyote anayekubali mafundisho hustawi, tena amebarikiwa yeye anayemtumaini Bwana. 21Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu, na maneno ya kupendeza huchochea mafundisho. 22Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao, bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu. 23Moyo wa mtu mwenye hekima huongoza kinywa chake, na midomo yake huchochea mafundisho. 24Maneno ya kupendeza ni kama sega la asali, ni matamu kwa nafsi na uponyaji kwenye mifupa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.