Native Bible

Proverbs 16:20 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeyote anayekubali mafundisho hustawi, tena amebarikiwa yeye anayemtumaini Bwana.

Proverbs 16:20 in English

Proverbs 16:20 · Berean Standard Bible

Whoever heeds instruction will find success,* and blessed is he who trusts in the LORD.

Context

18Kiburi hutangulia maangamizi, roho ya majivuno hutangulia maanguko. 19Ni afadhali kuwa mnyenyekevu katika roho miongoni mwa walioonewa kuliko kugawana nyara pamoja na wenye kiburi. 20Yeyote anayekubali mafundisho hustawi, tena amebarikiwa yeye anayemtumaini Bwana. 21Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu, na maneno ya kupendeza huchochea mafundisho. 22Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao, bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.