Native Bible

Proverbs 16:18 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kiburi hutangulia maangamizi, roho ya majivuno hutangulia maanguko.

Proverbs 16:18 in English

Proverbs 16:18 · Berean Standard Bible

Pride goes before destruction, and a haughty spirit before a fall.

Context

16Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu, kuchagua ufahamu kuliko fedha! 17Njia kuu ya wanyofu huepuka ubaya; yeye aichungaye njia yake, huchunga maisha yake. 18Kiburi hutangulia maangamizi, roho ya majivuno hutangulia maanguko. 19Ni afadhali kuwa mnyenyekevu katika roho miongoni mwa walioonewa kuliko kugawana nyara pamoja na wenye kiburi. 20Yeyote anayekubali mafundisho hustawi, tena amebarikiwa yeye anayemtumaini Bwana.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.