Native Bible

Proverbs 16:16 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu, kuchagua ufahamu kuliko fedha!

Proverbs 16:16 in English

Proverbs 16:16 · Berean Standard Bible

How much better to acquire wisdom than gold! To gain understanding is more desirable than silver.

Context

14Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti, bali mtu mwenye hekima ataituliza. 15Uso wa mfalme ungʼaapo, inamaanisha uhai; upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli. 16Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu, kuchagua ufahamu kuliko fedha! 17Njia kuu ya wanyofu huepuka ubaya; yeye aichungaye njia yake, huchunga maisha yake. 18Kiburi hutangulia maangamizi, roho ya majivuno hutangulia maanguko.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.