Mithali 16:14
Proverbs 16:14 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti, bali mtu mwenye hekima ataituliza.
Proverbs 16:14 in English
Proverbs 16:14 · Berean Standard Bible
The wrath of a king is a messenger of death, but a wise man will pacify it.
Context
12Wafalme huchukia sana kutenda maovu,
kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kwa njia ya haki. 13Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu;
humthamini mtu asemaye kweli. 14Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti,
bali mtu mwenye hekima ataituliza. 15Uso wa mfalme ungʼaapo, inamaanisha uhai;
upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli. 16Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu,
kuchagua ufahamu kuliko fedha!
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.