Mithali 16:13
Proverbs 16:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu; humthamini mtu asemaye kweli.
Proverbs 16:13 in English
Proverbs 16:13 · Berean Standard Bible
Righteous lips are a king’s delight, and he who speaks honestly is beloved.
Context
11Vipimo na mizani za halali hutoka kwa Bwana;
mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye. 12Wafalme huchukia sana kutenda maovu,
kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kwa njia ya haki. 13Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu;
humthamini mtu asemaye kweli. 14Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti,
bali mtu mwenye hekima ataituliza. 15Uso wa mfalme ungʼaapo, inamaanisha uhai;
upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.