Native Bible

Proverbs 16:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wafalme huchukia sana kutenda maovu, kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kwa njia ya haki.

Proverbs 16:12 in English

Proverbs 16:12 · Berean Standard Bible

Wicked behavior is detestable to kings, for a throne is established through righteousness.

Context

10Midomo ya mfalme huzungumza kwa hekima ya kiungu, wala kinywa chake hakipotoshi haki. 11Vipimo na mizani za halali hutoka kwa Bwana; mawe yote ya kupimia yaliyo katika mfuko ameyafanya yeye. 12Wafalme huchukia sana kutenda maovu, kwa maana kiti cha ufalme hufanywa imara kwa njia ya haki. 13Wafalme hufurahia midomo ya uaminifu; humthamini mtu asemaye kweli. 14Ghadhabu ya mfalme ni mjumbe wa mauti, bali mtu mwenye hekima ataituliza.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.