Mithali 16:17
Proverbs 16:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Njia kuu ya wanyofu huepuka ubaya; yeye aichungaye njia yake, huchunga maisha yake.
Proverbs 16:17 in English
Proverbs 16:17 · Berean Standard Bible
The highway of the upright leads away from evil; he who guards his way protects his life.
Context
15Uso wa mfalme ungʼaapo, inamaanisha uhai;
upendeleo wake ni kama wingu la mvua wakati wa vuli. 16Ni bora kiasi gani kupata hekima kuliko dhahabu,
kuchagua ufahamu kuliko fedha! 17Njia kuu ya wanyofu huepuka ubaya;
yeye aichungaye njia yake, huchunga maisha yake. 18Kiburi hutangulia maangamizi,
roho ya majivuno hutangulia maanguko. 19Ni afadhali kuwa mnyenyekevu katika roho
miongoni mwa walioonewa
kuliko kugawana nyara pamoja na wenye kiburi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.