Mithali 16:21
Proverbs 16:21 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu, na maneno ya kupendeza huchochea mafundisho.
Proverbs 16:21 in English
Proverbs 16:21 · Berean Standard Bible
The wise in heart are called discerning, and pleasant speech promotes instruction.
Context
19Ni afadhali kuwa mnyenyekevu katika roho
miongoni mwa walioonewa
kuliko kugawana nyara pamoja na wenye kiburi. 20Yeyote anayekubali mafundisho hustawi,
tena amebarikiwa yeye anayemtumaini Bwana. 21Wenye hekima moyoni huitwa wenye ufahamu,
na maneno ya kupendeza huchochea mafundisho. 22Ufahamu ni chemchemi ya uzima kwa wale walio nao,
bali upumbavu huleta adhabu kwa wapumbavu. 23Moyo wa mtu mwenye hekima huongoza kinywa chake,
na midomo yake huchochea mafundisho.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.