Native Bible

Proverbs 14:27 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti.

Proverbs 14:27 in English

Proverbs 14:27 · Berean Standard Bible

The fear of the LORD is a fountain of life, turning a man from the snares of death.

Context

25Shahidi wa kweli huokoa maisha, bali shahidi wa uongo ni mdanganyifu. 26Yeye amchaye Bwana ana ngome salama, na kwa watoto wake itakuwa kimbilio. 27Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 28Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme, bali pasipo watu mkuu huangamia. 29Mtu mwenye subira ana ufahamu mwingi, bali anayekasirika haraka huonyesha upumbavu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.