Mithali 14:28
Proverbs 14:28 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme, bali pasipo watu mkuu huangamia.
Proverbs 14:28 in English
Proverbs 14:28 · Berean Standard Bible
A large population is a king’s splendor, but a lack of subjects is a prince’s ruin.
Context
26Yeye amchaye Bwana ana ngome salama,
na kwa watoto wake itakuwa kimbilio. 27Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima,
ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 28Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme,
bali pasipo watu mkuu huangamia. 29Mtu mwenye subira ana ufahamu mwingi,
bali anayekasirika haraka huonyesha upumbavu. 30Moyo wenye amani huupa mwili uzima,
bali wivu huozesha mifupa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.