Native Bible

Proverbs 14:26 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Yeye amchaye Bwana ana ngome salama, na kwa watoto wake itakuwa kimbilio.

Proverbs 14:26 in English

Proverbs 14:26 · Berean Standard Bible

He who fears the LORD is secure in confidence, and his children shall have a place of refuge.

Context

24Utajiri wa wenye hekima ni taji yao, bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu. 25Shahidi wa kweli huokoa maisha, bali shahidi wa uongo ni mdanganyifu. 26Yeye amchaye Bwana ana ngome salama, na kwa watoto wake itakuwa kimbilio. 27Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima, ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti. 28Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme, bali pasipo watu mkuu huangamia.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.