Mithali 14:25
Proverbs 14:25 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Shahidi wa kweli huokoa maisha, bali shahidi wa uongo ni mdanganyifu.
Proverbs 14:25 in English
Proverbs 14:25 · Berean Standard Bible
A truthful witness saves lives, but one who utters lies is deceitful.
Context
23Kazi zote zinazofanywa kwa bidii huleta faida,
bali mazungumzo matupu huelekea umaskini tu. 24Utajiri wa wenye hekima ni taji yao,
bali upumbavu wa wapumbavu huzaa upumbavu. 25Shahidi wa kweli huokoa maisha,
bali shahidi wa uongo ni mdanganyifu. 26Yeye amchaye Bwana ana ngome salama,
na kwa watoto wake itakuwa kimbilio. 27Kumcha Bwana ni chemchemi ya uzima,
ili kumwepusha mtu na mitego ya mauti.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.