Mithali 14:30
Proverbs 14:30 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Moyo wenye amani huupa mwili uzima, bali wivu huozesha mifupa.
Proverbs 14:30 in English
Proverbs 14:30 · Berean Standard Bible
A tranquil heart is life to the body, but envy rots the bones.
Context
28Wingi wa watu ni utukufu wa mfalme,
bali pasipo watu mkuu huangamia. 29Mtu mwenye subira ana ufahamu mwingi,
bali anayekasirika haraka huonyesha upumbavu. 30Moyo wenye amani huupa mwili uzima,
bali wivu huozesha mifupa. 31Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau kwa Muumba wao,
bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu. 32Waovu huangamizwa kwa matendo yao maovu,
bali hata katika kifo wenye haki hupata kimbilio.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.