Mithali 14:32
Proverbs 14:32 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Waovu huangamizwa kwa matendo yao maovu, bali hata katika kifo wenye haki hupata kimbilio.
Proverbs 14:32 in English
Proverbs 14:32 · Berean Standard Bible
The wicked man is thrown down by his own sin, but the righteous man has a refuge even in death.
Context
30Moyo wenye amani huupa mwili uzima,
bali wivu huozesha mifupa. 31Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau kwa Muumba wao,
bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu. 32Waovu huangamizwa kwa matendo yao maovu,
bali hata katika kifo wenye haki hupata kimbilio. 33Hekima hukaa katika moyo wa mwenye ufahamu
bali haijulikani miongoni mwa wapumbavu. 34Haki huinua taifa,
bali dhambi ni aibu kwa watu wote.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.