Native Bible

Proverbs 14:33 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hekima hukaa katika moyo wa mwenye ufahamu bali haijulikani miongoni mwa wapumbavu.

Proverbs 14:33 in English

Proverbs 14:33 · Berean Standard Bible

Wisdom rests in the heart of the discerning; even among fools she is known.*

Context

31Yeye amwoneaye maskini huonyesha dharau kwa Muumba wao, bali yeyote anayemhurumia mhitaji humheshimu Mungu. 32Waovu huangamizwa kwa matendo yao maovu, bali hata katika kifo wenye haki hupata kimbilio. 33Hekima hukaa katika moyo wa mwenye ufahamu bali haijulikani miongoni mwa wapumbavu. 34Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu kwa watu wote. 35Mfalme hupendezwa na mtumishi mwenye hekima, bali ghadhabu yake humwangukia mtumishi mwenye kuaibisha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.