Native Bible

Proverbs 14:35 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mfalme hupendezwa na mtumishi mwenye hekima, bali ghadhabu yake humwangukia mtumishi mwenye kuaibisha.

Proverbs 14:35 in English

Proverbs 14:35 · Berean Standard Bible

A king delights in a wise servant, but his anger falls on the shameful.

Context

33Hekima hukaa katika moyo wa mwenye ufahamu bali haijulikani miongoni mwa wapumbavu. 34Haki huinua taifa, bali dhambi ni aibu kwa watu wote. 35Mfalme hupendezwa na mtumishi mwenye hekima, bali ghadhabu yake humwangukia mtumishi mwenye kuaibisha.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.