Native Bible

Proverbs 14:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Hata katika kicheko moyo waweza kuuma, nayo furaha yaweza kuishia katika majonzi.

Proverbs 14:13 in English

Proverbs 14:13 · Berean Standard Bible

Even in laughter the heart may ache, and joy may end in sorrow.

Context

11Nyumba ya mwovu itaangamizwa, bali hema la mnyofu litastawi. 12Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, bali mwisho wake huelekeza mautini. 13Hata katika kicheko moyo waweza kuuma, nayo furaha yaweza kuishia katika majonzi. 14Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa ajili ya njia zao, naye mtu mwema atapewa thawabu kwa ajili ya njia yake. 15Mtu mjinga huamini kila kitu, bali mwenye busara hufikiria hatua zake.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.