Mithali 14:12
Proverbs 14:12 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, bali mwisho wake huelekeza mautini.
Proverbs 14:12 in English
Proverbs 14:12 · Berean Standard Bible
There is a way that seems right to a man, but its end is the way of death.
Context
10Kila moyo hujua uchungu wake wenyewe,
wala hakuna yeyote awezaye kushiriki furaha yake. 11Nyumba ya mwovu itaangamizwa,
bali hema la mnyofu litastawi. 12Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu,
bali mwisho wake huelekeza mautini. 13Hata katika kicheko moyo waweza kuuma,
nayo furaha yaweza kuishia katika majonzi. 14Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa ajili ya njia zao,
naye mtu mwema atapewa thawabu kwa ajili ya njia yake.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.