Native Bible

Proverbs 14:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nyumba ya mwovu itaangamizwa, bali hema la mnyofu litastawi.

Proverbs 14:11 in English

Proverbs 14:11 · Berean Standard Bible

The house of the wicked will be destroyed, but the tent of the upright will flourish.

Context

9Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi, bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu. 10Kila moyo hujua uchungu wake wenyewe, wala hakuna yeyote awezaye kushiriki furaha yake. 11Nyumba ya mwovu itaangamizwa, bali hema la mnyofu litastawi. 12Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu, bali mwisho wake huelekeza mautini. 13Hata katika kicheko moyo waweza kuuma, nayo furaha yaweza kuishia katika majonzi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.