Native Bible

Proverbs 14:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi, bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu.

Proverbs 14:9 in English

Proverbs 14:9 · Berean Standard Bible

Fools mock the making of amends, but goodwill is found among the upright.

Context

7Kaa mbali na mtu mpumbavu, kwa maana hutapata maarifa katika midomo yake. 8Hekima ya mwenye busara ni kufikiria njia zake, bali upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu. 9Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi, bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu. 10Kila moyo hujua uchungu wake wenyewe, wala hakuna yeyote awezaye kushiriki furaha yake. 11Nyumba ya mwovu itaangamizwa, bali hema la mnyofu litastawi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.