Mithali 14:10
Proverbs 14:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Kila moyo hujua uchungu wake wenyewe, wala hakuna yeyote awezaye kushiriki furaha yake.
Proverbs 14:10 in English
Proverbs 14:10 · Berean Standard Bible
The heart knows its own bitterness, and no stranger shares in its joy.
Context
8Hekima ya mwenye busara ni kufikiria njia zake,
bali upumbavu wa wapumbavu ni udanganyifu. 9Wapumbavu hudhihaki kujirekebisha kutoka dhambi,
bali wema hupatikana miongoni mwa wanyofu. 10Kila moyo hujua uchungu wake wenyewe,
wala hakuna yeyote awezaye kushiriki furaha yake. 11Nyumba ya mwovu itaangamizwa,
bali hema la mnyofu litastawi. 12Iko njia ionekanayo kuwa sawa kwa mtu,
bali mwisho wake huelekeza mautini.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.