Native Bible

Proverbs 14:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mjinga huamini kila kitu, bali mwenye busara hufikiria hatua zake.

Proverbs 14:15 in English

Proverbs 14:15 · Berean Standard Bible

The simple man believes every word, but the prudent man watches his steps.

Context

13Hata katika kicheko moyo waweza kuuma, nayo furaha yaweza kuishia katika majonzi. 14Wasio na imani watapatilizwa kikamilifu kwa ajili ya njia zao, naye mtu mwema atapewa thawabu kwa ajili ya njia yake. 15Mtu mjinga huamini kila kitu, bali mwenye busara hufikiria hatua zake. 16Mtu mwenye hekima humcha Bwana na kuepuka mabaya, bali mpumbavu hukasirika kwa hamaki na uzembe. 17Mtu anayekasirika kwa haraka hufanya mambo ya upumbavu, naye mtu wa hila huchukiwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.