Native Bible

Proverbs 14:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu anayekasirika kwa haraka hufanya mambo ya upumbavu, naye mtu wa hila huchukiwa.

Proverbs 14:17 in English

Proverbs 14:17 · Berean Standard Bible

A quick-tempered man acts foolishly, and a devious man is hated.

Context

15Mtu mjinga huamini kila kitu, bali mwenye busara hufikiria hatua zake. 16Mtu mwenye hekima humcha Bwana na kuepuka mabaya, bali mpumbavu hukasirika kwa hamaki na uzembe. 17Mtu anayekasirika kwa haraka hufanya mambo ya upumbavu, naye mtu wa hila huchukiwa. 18Mjinga hurithi upumbavu, bali wenye busara huvikwa maarifa kichwani kama taji. 19Watu wabaya watasujudu mbele ya watu wema, nao waovu kwenye malango ya wenye haki.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.