Native Bible

Proverbs 13:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Utajiri wa mtu waweza kukomboa maisha yake, bali mtu maskini hasikii kitisho.

Proverbs 13:8 in English

Proverbs 13:8 · Berean Standard Bible

Riches may ransom a man’s life, but a poor man hears no threat.

Context

6Haki humlinda mtu mwadilifu, bali uovu humwangusha mwenye dhambi. 7Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote; mwingine hujifanya maskini, kumbe ana utajiri mwingi. 8Utajiri wa mtu waweza kukomboa maisha yake, bali mtu maskini hasikii kitisho. 9Nuru ya mwenye haki hungʼaa sana, bali taa ya mwovu itazimwa. 10Kiburi huzalisha magomvi tu, bali hekima hupatikana kwa wale wanaozingatia ushauri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.