Native Bible

Proverbs 13:9 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Nuru ya mwenye haki hungʼaa sana, bali taa ya mwovu itazimwa.

Proverbs 13:9 in English

Proverbs 13:9 · Berean Standard Bible

The light of the righteous shines brightly, but the lamp of the wicked is extinguished.

Context

7Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote; mwingine hujifanya maskini, kumbe ana utajiri mwingi. 8Utajiri wa mtu waweza kukomboa maisha yake, bali mtu maskini hasikii kitisho. 9Nuru ya mwenye haki hungʼaa sana, bali taa ya mwovu itazimwa. 10Kiburi huzalisha magomvi tu, bali hekima hupatikana kwa wale wanaozingatia ushauri. 11Fedha isiyo ya halali hupungua, bali yeye akusanyaye fedha kidogo kidogo huongezeka.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.