Mithali 13:7
Proverbs 13:7 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote; mwingine hujifanya maskini, kumbe ana utajiri mwingi.
Proverbs 13:7 in English
Proverbs 13:7 · Berean Standard Bible
One pretends to be rich, but has nothing; another pretends to be poor, yet has great wealth.
Context
5Mwenye haki huchukia uongo,
bali waovu huleta aibu na fedheha. 6Haki humlinda mtu mwadilifu,
bali uovu humwangusha mwenye dhambi. 7Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote;
mwingine hujifanya maskini, kumbe ana utajiri mwingi. 8Utajiri wa mtu waweza kukomboa maisha yake,
bali mtu maskini hasikii kitisho. 9Nuru ya mwenye haki hungʼaa sana,
bali taa ya mwovu itazimwa.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.