Mithali 13:5
Proverbs 13:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mwenye haki huchukia uongo, bali waovu huleta aibu na fedheha.
Proverbs 13:5 in English
Proverbs 13:5 · Berean Standard Bible
The righteous hate falsehood, but the wicked bring shame and disgrace.
Context
3Yeye alindaye midomo yake hulinda nafsi yake,
bali yeye asemaye kwa haraka ataangamia. 4Mvivu hutamani sana na hapati kitu,
bali nafsi ya mwenye bidii
hutoshelezwa kikamilifu. 5Mwenye haki huchukia uongo,
bali waovu huleta aibu na fedheha. 6Haki humlinda mtu mwadilifu,
bali uovu humwangusha mwenye dhambi. 7Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote;
mwingine hujifanya maskini, kumbe ana utajiri mwingi.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.