Native Bible

Proverbs 13:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Haki humlinda mtu mwadilifu, bali uovu humwangusha mwenye dhambi.

Proverbs 13:6 in English

Proverbs 13:6 · Berean Standard Bible

Righteousness guards the man of integrity, but wickedness undermines the sinner.

Context

4Mvivu hutamani sana na hapati kitu, bali nafsi ya mwenye bidii hutoshelezwa kikamilifu. 5Mwenye haki huchukia uongo, bali waovu huleta aibu na fedheha. 6Haki humlinda mtu mwadilifu, bali uovu humwangusha mwenye dhambi. 7Mtu mmoja hujifanya tajiri, kumbe hana chochote; mwingine hujifanya maskini, kumbe ana utajiri mwingi. 8Utajiri wa mtu waweza kukomboa maisha yake, bali mtu maskini hasikii kitisho.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.