Mithali 12:5
Proverbs 12:5 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki, bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu.
Proverbs 12:5 in English
Proverbs 12:5 · Berean Standard Bible
The plans of the righteous are just, but the counsel of the wicked leads to deceit.
Context
3Mtu hathibitiki kutokana na uovu,
bali mwenye haki hataondolewa. 4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe,
bali aaibishaye ni kama uozo
katika mifupa ya mumewe. 5Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki,
bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu. 6Maneno ya waovu huotea kumwaga damu,
bali maneno ya waadilifu huwaokoa. 7Watu waovu huondolewa na kutoweka,
bali nyumba ya mwenye haki husimama imara.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.