Native Bible

Proverbs 12:4 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe, bali aaibishaye ni kama uozo katika mifupa ya mumewe.

Proverbs 12:4 in English

Proverbs 12:4 · Berean Standard Bible

A wife of noble character is her husband’s crown, but she who causes shame is like decay in his bones.

Context

2Mtu mwema hupata kibali kutoka kwa Bwana, bali Bwana humhukumu mwenye hila. 3Mtu hathibitiki kutokana na uovu, bali mwenye haki hataondolewa. 4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe, bali aaibishaye ni kama uozo katika mifupa ya mumewe. 5Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki, bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu. 6Maneno ya waovu huotea kumwaga damu, bali maneno ya waadilifu huwaokoa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.