Native Bible

Proverbs 12:6 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Maneno ya waovu huotea kumwaga damu, bali maneno ya waadilifu huwaokoa.

Proverbs 12:6 in English

Proverbs 12:6 · Berean Standard Bible

The words of the wicked lie in wait for blood, but the speech of the upright rescues them.

Context

4Mke mwenye tabia nzuri ni taji ya mumewe, bali aaibishaye ni kama uozo katika mifupa ya mumewe. 5Mipango ya mtu mwadilifu ni ya haki, bali ushauri wa mwovu ni udanganyifu. 6Maneno ya waovu huotea kumwaga damu, bali maneno ya waadilifu huwaokoa. 7Watu waovu huondolewa na kutoweka, bali nyumba ya mwenye haki husimama imara. 8Mtu husifiwa kulingana na hekima yake, bali watu wenye akili zilizopotoka hudharauliwa.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.