Native Bible

Proverbs 12:8 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu husifiwa kulingana na hekima yake, bali watu wenye akili zilizopotoka hudharauliwa.

Proverbs 12:8 in English

Proverbs 12:8 · Berean Standard Bible

A man is praised according to his wisdom, but a twisted mind is despised.

Context

6Maneno ya waovu huotea kumwaga damu, bali maneno ya waadilifu huwaokoa. 7Watu waovu huondolewa na kutoweka, bali nyumba ya mwenye haki husimama imara. 8Mtu husifiwa kulingana na hekima yake, bali watu wenye akili zilizopotoka hudharauliwa. 9Heri mtu wa hali ya chini mwenye mtumishi, kuliko kujifanya mtu wa hali ya juu nawe huna chakula. 10Mtu mwenye haki hujali mahitaji ya mnyama wake, bali matendo ya huruma ya mwovu ni ukatili.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.