Native Bible

Proverbs 12:10 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwenye haki hujali mahitaji ya mnyama wake, bali matendo ya huruma ya mwovu ni ukatili.

Proverbs 12:10 in English

Proverbs 12:10 · Berean Standard Bible

A righteous man regards the life of his animal, but the tender mercies of the wicked are only cruelty.

Context

8Mtu husifiwa kulingana na hekima yake, bali watu wenye akili zilizopotoka hudharauliwa. 9Heri mtu wa hali ya chini mwenye mtumishi, kuliko kujifanya mtu wa hali ya juu nawe huna chakula. 10Mtu mwenye haki hujali mahitaji ya mnyama wake, bali matendo ya huruma ya mwovu ni ukatili. 11Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili. 12Waovu hutamani mateka ya watu wabaya, bali shina la mwenye haki hustawi.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.