Mithali 12:11
Proverbs 12:11 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015
Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili.
Proverbs 12:11 in English
Proverbs 12:11 · Berean Standard Bible
The one who works his land will have plenty of food, but whoever chases fantasies lacks judgment.
Context
9Heri mtu wa hali ya chini mwenye mtumishi,
kuliko kujifanya mtu wa hali ya juu nawe huna chakula. 10Mtu mwenye haki hujali mahitaji ya mnyama wake,
bali matendo ya huruma ya mwovu ni ukatili. 11Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele,
bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili. 12Waovu hutamani mateka ya watu wabaya,
bali shina la mwenye haki hustawi. 13Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake ya dhambi,
bali mwenye haki huepuka taabu.
Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.