Native Bible

Proverbs 12:13 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake ya dhambi, bali mwenye haki huepuka taabu.

Proverbs 12:13 in English

Proverbs 12:13 · Berean Standard Bible

An evil man is trapped by his rebellious speech, but a righteous man escapes from trouble.

Context

11Yeye alimaye shamba lake atakuwa na chakula tele, bali yeye afuataye mambo ya upuzi hana akili. 12Waovu hutamani mateka ya watu wabaya, bali shina la mwenye haki hustawi. 13Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake ya dhambi, bali mwenye haki huepuka taabu. 14Kutokana na tunda la midomo yake mtu hujazwa na mambo mema, hakika kama ilivyo kazi ya mikono yake humtunza. 15Njia ya mpumbavu huonekana sawa machoni pake mwenyewe, bali mtu mwenye hekima husikiliza ushauri.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.