Native Bible

Proverbs 12:15 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Njia ya mpumbavu huonekana sawa machoni pake mwenyewe, bali mtu mwenye hekima husikiliza ushauri.

Proverbs 12:15 in English

Proverbs 12:15 · Berean Standard Bible

The way of a fool is right in his own eyes, but a wise man listens to counsel.

Context

13Mtu mwovu hunaswa kwa mazungumzo yake ya dhambi, bali mwenye haki huepuka taabu. 14Kutokana na tunda la midomo yake mtu hujazwa na mambo mema, hakika kama ilivyo kazi ya mikono yake humtunza. 15Njia ya mpumbavu huonekana sawa machoni pake mwenyewe, bali mtu mwenye hekima husikiliza ushauri. 16Mpumbavu huonyesha kuudhika kwake mara moja, bali mtu wa busara hupuuza matukano. 17Shahidi wa kweli hutoa ushuhuda wa kuaminika, bali shahidi wa uongo husema uongo.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.