Native Bible

Proverbs 12:17 · Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version 2015

Shahidi wa kweli hutoa ushuhuda wa kuaminika, bali shahidi wa uongo husema uongo.

Proverbs 12:17 in English

Proverbs 12:17 · Berean Standard Bible

He who speaks the truth declares what is right, but a false witness speaks deceit.

Context

15Njia ya mpumbavu huonekana sawa machoni pake mwenyewe, bali mtu mwenye hekima husikiliza ushauri. 16Mpumbavu huonyesha kuudhika kwake mara moja, bali mtu wa busara hupuuza matukano. 17Shahidi wa kweli hutoa ushuhuda wa kuaminika, bali shahidi wa uongo husema uongo. 18Maneno ya kipumbavu huchoma kama upanga, bali ulimi wa mwenye hekima huleta uponyaji. 19Midomo isemayo kweli hudumu milele, bali ulimi wa uongo hudumu kwa muda mfupi tu.

Swahili text and audio: Biblica® Open Kiswahili Contemporary Version™, made available under an open license by Biblica, Inc.